\v=11 \v~=naye akasema mbele ya watu wote, “Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: ‘Vivi hivi ndivyo nitakavyoivunja nira ya Nebukadneza mfalme wa Babeli kutoka kwenye shingo za mataifa katika muda huu wa miaka miwili.’ ” Alipofanya hivi, nabii Yeremia akaondoka zake. \¬v \¬p