\p \v=15 \v~=Kisha nabii Yeremia akamwambia nabii Hanania, “Sikiliza Hanania! \nd Bwana\nd* hajakutuma, lakini wewe umelishawishi taifa hili kuamini uongo. \¬v