\v=3 \v~=Katika muda wa miaka miwili nitavirudisha mahali hapa vyombo vyote vya nyumba ya \nd Bwana\nd* ambavyo Nebukadneza mfalme wa Babeli aliviondoa kutoka hapa na kuvipeleka Babeli. \¬v