\v=4 \v~=Pia nitamrudisha mahali hapa Yekonia\f + \fr 28:4 \ft Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini.\f* mwana wa Yehoyakimu mfalme wa Yuda, pamoja na wote waliohamishwa kutoka Yuda ambao walikwenda Babeli,’ asema \nd Bwana\nd*, ‘kwa kuwa nitaivunja nira ya mfalme wa Babeli.’ ” \¬v \¬p