\p \v=5 \v~=Ndipo nabii Yeremia akamjibu nabii Hanania mbele ya makuhani na watu wote waliokuwa wamesimama ndani ya nyumba ya \nd Bwana\nd*. \¬v