\pm \v=10 \v~=Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: “Miaka sabini itakapotimia kwa ajili ya Babeli, nitakuja kwenu na kutimiza ahadi yangu ya rehema ya kuwarudisha mahali hapa. \¬v