\v=11 \v~=Kwa maana ninajua mipango niliyo nayo kwa ajili yenu,” asema \nd Bwana\nd*, “ni mipango ya kuwafanikisha na wala si ya kuwadhuru, ni mipango ya kuwapa tumaini katika siku zijazo. \¬v