\v=14 \v~=Nitaonekana kwenu,” asema \nd Bwana\nd*, “nami nitawarudisha watu wenu waliotekwa. Nitawakusanya kutoka mataifa yote na mahali pote nilipokuwa nimewafukuzia, nami nitawarudisha mahali ambapo nilikuwa nimewatoa walipochukuliwa uhamishoni,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v \¬pm