\v=16 \v~=lakini hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* kuhusu mfalme aketiaye kiti cha enzi cha Daudi, na watu wa kwenu wote wanaobaki katika mji huu, ndugu zenu ambao hawakwenda pamoja nanyi uhamishoni. \¬v