\v=17 \v~=Naam, hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote: “Nitatuma upanga, njaa na tauni dhidi yao, nami nitawafanya kuwa kama tini dhaifu zile ambazo ni mbovu sana zisizofaa kuliwa. \¬v