\v=19 \v~=Kwa kuwa hawakuyasikiliza maneno yangu,” asema \nd Bwana\nd*, “maneno ambayo niliwatumia tena na tena kupitia watumishi wangu manabii. Wala ninyi watu wa uhamisho hamkusikiliza pia,” asema \nd Bwana\nd*. \¬v \¬pm