\v=2 \v~=(Hii ilikuwa ni baada ya Mfalme Yekonia\f + \fr 29:2 \ft Yekonia au Konia ni jina jingine la Yehoyakini.\f* na malkia mamaye, maafisa wa mahakama, viongozi wa Yuda na wa Yerusalemu, mafundi na wahunzi kwenda uhamishoni kutoka Yerusalemu.) \¬v