\v=26 \v~=‘\nd Bwana\nd* amekuweka wewe uwe kuhani badala ya Yehoyada ili uwe msimamizi wa nyumba ya \nd Bwana\nd*. Unapaswa kufunga kwa mikatale na mnyororo wa shingoni mwendawazimu yeyote anayejifanya nabii. \¬v