\v=31 \v~=“Tuma ujumbe huu kwa watu wote walio uhamishoni: ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo kuhusu Shemaya Mnehelami: Kwa sababu Shemaya amewatabiria ninyi, hata ingawa sikumtuma, naye amewafanya kuamini uongo, \¬v