\v=32 \v~=hili ndilo \nd Bwana\nd* asemalo: Hakika nitamwadhibu Shemaya Mnehelami pamoja na uzao wake. Hapatakuwa na yeyote atakayebaki miongoni mwa watu hawa, wala hataona mema nitakayowatendea watu wangu, asema \nd Bwana\nd*, kwa sababu ametangaza uasi dhidi yangu.’ ” \¬v \¬p \¬c