\v=7 \v~=Pia tafuteni amani na mafanikio ya mji ambamo nimewapeleka uhamishoni. Mwombeni \nd Bwana\nd* kwa ajili ya mji huo, kwa sababu ukistawi, ninyi pia mtastawi.” \¬v \¬pm