\v=3 \v~=Siku zinakuja,’ asema \nd Bwana\nd*, ‘nitakapowaleta watu wangu Israeli na Yuda kutoka uhamishoni, na kuwarudisha katika nchi niliyowapa baba zao ili kuimiliki,’ asema \nd Bwana\nd*.” \¬v \¬p