\p \v=23 \v~=Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo, “Nitakapowarudisha toka nchi ya kutekwa kwenu, watu walio katika nchi ya Yuda na miji yake kwa mara nyingine tena watatumia maneno haya: ‘\nd Bwana\nd* akubariki, ee makao ya haki, ee mlima mtakatifu.’ \¬v