\p \v=38 \v~=“Siku zinakuja,” asema \nd Bwana\nd*, “wakati mji huu utajengwa upya kwa ajili yangu, kuanzia mnara wa Hananeli hadi Lango la Pembeni. \¬v