\v=40 \v~=Bonde lote watupwapo maiti na majivu pia na matuta yote kutoka Bonde la Kidroni upande wa mashariki hadi pembe ya Lango la Farasi, itakuwa takatifu kwa \nd Bwana\nd*. Kamwe mji huu hautangʼolewa tena wala kubomolewa.” \¬v \¬p \¬c