\pm \v=17 \v~=“Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi, umeumba mbingu na nchi kwa uwezo wako mkuu na kwa mkono ulionyooshwa. Hakuna jambo lililo gumu usiloliweza. \¬v