\v=25 \v~=Ingawa mji utatiwa mikononi mwa Wakaldayo, wewe, Ee \nd Bwana\nd* Mwenyezi, uliniambia, ‘Nunua shamba kwa fedha, na jambo hilo lishuhudiwe.’ ” \¬v \¬pm