\v=27 \v~=“Mimi ndimi \nd Bwana\nd*, Mungu wa wote wenye mwili. Je, kuna jambo lolote lililo gumu nisiloliweza? \¬v