\v=28 \v~=Kwa hiyo, hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Ninakaribia kuutia mji huu mikononi mwa Wakaldayo, na mwa Nebukadneza mfalme wa Babeli ambaye atauteka. \¬v