\p \v=3 \v~=Basi Sedekia mfalme wa Yuda alikuwa amemfunga huko akisema, “Kwa nini unatabiri hivyo? Wewe unasema, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Ninakaribia kuutia mji huu mkononi mwa mfalme wa Babeli, naye atauteka. \¬v