\p \v=42 \v~=“Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Kama nilivyoleta maafa haya makubwa kwa watu hawa, ndivyo nitakavyowapa mafanikio niliyowaahidi. \¬v