\v=9 \v~=Hivyo nikalinunua shamba hilo lililoko Anathothi kutoka kwa binamu yangu Hanameli, nami nikampimia shekeli kumi na saba\f + \fr 32:9 \ft Shekeli 17 za fedha ni sawa na gramu 200.\f* za fedha. \¬v