\v=24 \v~=“Je, hujasikia kwamba watu hawa wanasema, ‘\nd Bwana\nd* amezikataa zile falme mbili alizozichagua?’ Kwa hiyo wamewadharau watu wangu, na hawawaoni tena kama taifa. \¬v