\p \v=17 \v~=“Kwa hiyo, hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Hamkunitii mimi. Hamkutangaza uhuru kwa ndugu zenu. Hivyo sasa, ninawatangazia ninyi ‘uhuru,’ asema \nd Bwana\nd*: ‘uhuru’ ili kuanguka kwa upanga, tauni na njaa. Nitawafanya mwe chukizo kwa falme zote za dunia. \¬v