\v=2 \v~=“Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*, Mungu wa Israeli, kusema: Nenda kwa Sedekia mfalme wa Yuda umwambie, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Ninakaribia kuutia mji huu mikononi mwa mfalme wa Babeli, naye atauteketeza kwa moto. \¬v