\v=22 \v~=Nitatoa amri, asema \nd Bwana\nd*, nami nitawarudisha tena katika mji huu. Watapigana dhidi yake, wautwae na kuuteketeza kwa moto. Nami nitaiangamiza miji ya Yuda hivyo pasiwe na yeyote atakayeweza kuishi humo.” \¬v \¬p \¬c