\v=5 \v~=utakufa kwa amani. Kama vile watu walivyowasha moto wa maziko kwa heshima ya baba zako, wafalme waliokutangulia, ndivyo watu watakavyowasha moto kwa heshima yako na kuomboleza, wakisema: “Ole, Ee \nd Bwana\nd*!” Mimi mwenyewe ninaweka ahadi hii, asema \nd Bwana\nd*.’ ” \¬v \¬p