\v=10 \v~=Kutoka chumba cha Gemaria mwana wa Shafani mwandishi, kilichokuwa katika ua wa juu kwenye ingilio la Lango Jipya la Hekalu, Baruku akawasomea watu wote waliokuwa katika Hekalu la \nd Bwana\nd* maneno ya Yeremia kutoka kwenye kile kitabu. \¬v \¬p