\p \v=27 \v~=Baada ya mfalme kuchoma kile kitabu kilichokuwa na yale maneno Baruku aliyokuwa ameyaandika kutoka kinywani mwa Yeremia, neno la \nd Bwana\nd* lilimjia Yeremia likisema: \¬v