\v=29 \v~=Mwambie pia Yehoyakimu mfalme wa Yuda, ‘Hili ndilo asemalo \nd Bwana\nd*: Ulikiteketeza kile kitabu ukasema, “Kwa nini uliandika kwenye kitabu kwamba kwa hakika mfalme wa Babeli angekuja na kuangamiza nchi hii, na kuwakatilia mbali watu na wanyama kutoka humo?” \¬v