\p \v=4 \v~=Hivyo Yeremia akamwita Baruku mwana wa Neria, naye Yeremia alipokuwa akiyakariri maneno yote aliyoyasema \nd Bwana\nd*, Baruku akayaandika katika kitabu. \¬v