\v=6 \v~=Basi wewe nenda katika nyumba ya \nd Bwana\nd* siku ya kufunga, uwasomee watu maneno ya \nd Bwana\nd* kutoka kitabu hiki yale uliyoyaandika kutoka kinywani mwangu. Wasomee watu wote wa Yuda waliofika kutoka miji yao. \¬v