\v=7 \v~=Labda wataomba na kusihi mbele za \nd Bwana\nd* na kila mmoja akageuka kutoka njia zake mbaya, kwa sababu hasira na ghadhabu zilizotamkwa dhidi ya watu hawa na \nd Bwana\nd* ni kubwa.” \¬v \¬p