\v=2 \v~=Lakini sio Sedekia, wala watumishi wake, wala watu wa nchi walisikiliza maneno ya \nd Bwana\nd* aliyonena kupitia kwa nabii Yeremia. \¬v \¬p