\p \v=20 \v~=Yeremia akajibu, “Hawatakutia mikononi mwao. Mtii \nd Bwana\nd* kwa kufanya kile ninachokuambia. Kisha utafanikiwa na maisha yako yatakuwa salama. \¬v