\v=16 \v~=“Nenda ukamwambie Ebed-Meleki Mkushi, ‘Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: Ninakaribia kutimiza maneno yangu dhidi ya mji huu kwa njia ya maafa, wala si kwa kuwafanikisha. Wakati huo hayo yatatimizwa mbele ya macho yako. \¬v