\v=17 \v~=Lakini siku hiyo nitakuokoa, asema \nd Bwana\nd*; hutatiwa mikononi mwa wale unaowaogopa. \¬v