\v=4 \v~=Mfalme Sedekia wa Yuda na askari wote walipowaona, wakakimbia na kuondoka mjini usiku kwa njia ya bustani ya mfalme, kupitia lango lililokuwa kati ya kuta mbili, wakaelekea Araba.\f + \fr 39:4 \ft Au: kuelekea Bonde la Yordani.\f* \¬v \¬p