\p \v=14 \v~=“Rudini, enyi watu msio waaminifu, kwa kuwa mimi ni mume wenu,” asema \nd Bwana\nd*. “Nitawachagua ninyi, mmoja kutoka kwenye mji, na wawili kutoka kwenye ukoo, nami nitawaleta Sayuni. \¬v