\v=17 \v~=Wakati huo, wataita Yerusalemu kuwa Kiti cha Enzi cha \nd Bwana\nd*, nayo mataifa yote watakusanyika Yerusalemu kuliheshimu jina la \nd Bwana\nd*. Hawatafuata tena ukaidi wa mioyo yao miovu. \¬v