\v=2 \v~=Kiongozi wa walinzi alipomwona Yeremia, akamwambia, “\nd Bwana\nd* Mungu wako aliamuru maafa haya kwa mahali hapa. \¬v