\v=3 \v~=Sasa \nd Bwana\nd* ameyaleta haya, amefanya sawasawa na vile alivyosema angefanya. Yote haya yametokea kwa sababu ninyi mlifanya dhambi dhidi ya \nd Bwana\nd* na hamkumtii. \¬v