\v=11 \v~=Msimwogope mfalme wa Babeli, ambaye sasa mnamwogopa. Msimwogope, asema \nd Bwana\nd*, kwa kuwa niko pamoja nanyi, nami nitawaokoa na kuwaponya kutoka mikononi mwake. \¬v