\v=15 \v~=basi sikieni neno la \nd Bwana\nd*, enyi mabaki ya Yuda. Hili ndilo \nd Bwana\nd* Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo: ‘Ikiwa mmekusudia kwenda Misri na kufanya makazi huko, \¬v