\p \v=4 \v~=Nabii Yeremia akajibu, “Nimewasikia. Kwa hakika nitamwomba \nd Bwana\nd* Mungu wenu kama mlivyoomba. Nitawaambia kila kitu asemacho \nd Bwana\nd*, wala sitawaficha chochote.” \¬v \¬p